TANGAZO LA FOMU YA MAOMBI YA LESENI KWA MWAKA 2019

BARAZA LA MANISPAA MAGHARIBI "A"
Linapenda kuwajuilisha wananchi wote wanaofanya Biashara katika Manispaa hiyo kwamba ifikapo Jumatatu 19/11/2018, itaanza kutoa fomu za maombi ya leseni kwa mwaka 2019, hivyo wanchi wote wanaombwa kununua fomu hizo kwa wakati uliopangwa.

No comments:

Post a Comment

Facebook

Recent Comments

Recent Post